“CRYPTO” WALLET MPYA YA FACEBOOK YAANZA KUFANYA KAZI

“CRYPTO” WALLET MPYA YA FACEBOOK YAANZA KUFANYA KAZI

Baada ya Facebook kusumbuliwa na fedha ya kidigitali ya Libra, iliamua kuipa jina la “Diem” na kuwekeza katika kutengeneza Wallet ya Novi ambayo itatumika kutuma na kupokea fedha na itaunganishwa na crypto, metaverse, mfumo wa matangazo, na apps za Instagram, Facebook na WhatsApp ambapo watumiaji wataweza kutuma na kupokea fedha bure kwa urahisi. Kwa sasa […]

Read More