Bien wa Sauti Sol ajibu madai ya Crystal Asige kufungua kesi mahakamani dhidi ya Sol Generation

Bien wa Sauti Sol ajibu madai ya Crystal Asige kufungua kesi mahakamani dhidi ya Sol Generation

Mwimbaji wa Sauti Sol amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya aliyekuwa msanii wa Sol Generation Crystal Asige kuwasilisha kesi mahakamani dhidi ya bendi hiyo maarufu kwa kukiuka mkataba wake. Akizungumza na Mpasho, Bien amesema bendi ya Sauti Sol iko tayari kukutana na seneta huyo mteule ambaye anawakilisha watu wanaoishi na ulemavu, mahakamani kupata mwanga […]

Read More
 CRYSTAL ASIGE ATEULIWA KUWAKISHILISHA WALEMAVU KATIKA BUNGE LA SENETI

CRYSTAL ASIGE ATEULIWA KUWAKISHILISHA WALEMAVU KATIKA BUNGE LA SENETI

Aliyekuwa msanii wa Sol Generation Crystal Asige amechapishwa rasmi kwenye gazeti la serikali kama seneta mteule atakayewakilisha watu wenye changamoto ya ulemavu bungeni. Katika notisi iliyotolewa na tume ya IEBC Septemba 7, jina la Asige limetajwa kwenye orodha ya viongozi walioteuliwa kujiunga na bunge la kitaifa pamoja na seneti. Mwimbaji huyo ameteuliwa kwa tiketi ya […]

Read More