Crysto Panda awajibu wanaokosoa muziki wake mtandaoni
Mwanamuziki na mtangazaji wa runinga kutoka nchini Uganda Crysto Panda ameapa kuendelea kuimba licha ya ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashabiki kuwa anaimba nyimbo za kitoto ambazo zinachosha. Crysto Panda alipata mafanikio makubwa kwenye muziki wake alipoacha wimbo uitwao “kyolina omanya” akiwa amemshirikisha Sheebah Karungi, lakini tangu wakati huo, ameshindwa kutoa wimbo mkali zaidi. Mashabiki wake […]
Read More