DABABY KWENYE HEADLINES BAADA YA KUZICHAPA NA MSANII MWENZAKE

DABABY KWENYE HEADLINES BAADA YA KUZICHAPA NA MSANII MWENZAKE

Rapa asiyeishiwa na vituko kutoka nchini Marekani, Da Baby, kwa mara nyingine ameingia kwenye headlines mtandaoni baada ya kuzichapa kavukavu na msanii mwenzake. Da Baby amezichapa na msanii ambaye wapo naye lebo moja, Wisdom wakiwa ‘backstage’ wakati wa tamasha la Spring Jam 2022 lililofanyika katika Ukumbi wa Colonial Life Arena, Columbus, South Calorina usiku wa […]

Read More