Daddy Owen Afunguka Kuhusu Majuto ya Kutokuanzisha Familia Mapema
Msanii wa muziki nchini Kenya, Daddy Owen, ameendelea kutoa ushuhuda wa ndani kuhusu maisha yake, amefunguka kwamba mojawapo ya majuto makubwa maishani mwake ni kutokuanzisha familia mapema akiwa kijana. Kwenye mahojiano na podcast ya Mwakideu Live, Daddy Owen amesema anatamani angeanza familia mapema alipokuwa katika miaka yake ya 20. Ameeleza kuwa wakati huo alikuwa amejijengea […]
Read More