DaBaby Ashinda Kesi ya Shambulio Dhidi ya Kaka wa DaniLeigh Lakini Bado Yuko Hatiani Kifedha

DaBaby Ashinda Kesi ya Shambulio Dhidi ya Kaka wa DaniLeigh Lakini Bado Yuko Hatiani Kifedha

Msanii maarufu wa hip hop, DaBaby, amepata ushindi wa kisheria baada ya jaji mmoja wa Los Angeles kutupilia mbali madai ya kushambulia yaliyowasilishwa na Brandon Bills, ndugu wa aliyekuwa mpenzi wake, DaniLeigh, kuhusu ugomvi uliotokea kwenye uwanja wa bowling mwaka 2022. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Billboard Hip Hop, jaji alitupilia mbali kesi hiyo […]

Read More
 DAVIDO NA DABABY WAONEKANA LAGOS KUKAMILISHA COLABO YAO

DAVIDO NA DABABY WAONEKANA LAGOS KUKAMILISHA COLABO YAO

Rapa kutoka Marekani, Dababy ameonekana Nigeria akiwa pamoja na Davido ambaye ndiye kama mwenyeji wake nchini humo. Wawili hao walionekana wakizunguka katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Lagos, huku kila mmoja akishare baadae video wakiwa pamoja kupitia mitandao yao ya kijamii. Aidha, Dababy ametumia ukurasa wake wa Instagram kumshukuru Davido kwa kumfanya ajisikie yupo nyumbani. […]

Read More