Koku Lwanga Atoa Ujumbe wa Hekima Kuhusu Ndoa na Uvumilivu
Mtengeneza maudhui kwenye mitandao ya kijamii, Koku Lwanga, amewasilisha ujumbe mzito wa hekima kuhusu ndoa na mahusiano, akisisitiza kuwa ndoa si rahisi kama inavyoonekana kwa nje, na hakuna anayejua jinsi ya kuimudu hadi awe ndani yake. Katika video ya awali ambayo imeibuka tena na kugonga vichwa vya habari mitandaoni, Koku anawahimiza watu kuwa na huruma, […]
Read More