Daddy Andre afunguka madai ya kuharibu wimbo wa Fred Sebata
Msanii kutoka nchini Uganda Daddy Andre amewajibu wanaodai kuwa aliharibu wimbo wa msanii mkongwe Lord Fred Sebatanoting uitwao Sam Wange. Kwenye mahojiano yake karibuni amesema alijaribu kuupa wimbo huo ladha ya kisasa kwa kutumia mdundo tofauti ila mashairi yake yalisalia yalivyo kwa kuwa wimbo wenyewe una hakimiliki. Msanii huyo ameongeza kuwa kama mwenye wimbo angelalamika […]
Read More