KALIFAH AGANAGA AMSHAURI PRODYUZA WA MUZIKI DADDY ANDRE AACHE KUIMBA
Mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Uganda Khalifah Aganaga amemtaka Daddy Andre kuamua iwapo anataka kuwa mtayarishaji wa muziki au mwimbaji. Kulingana na Aganaga, ni vigumu msanii kufanikiwa kwenye nyanja mbili za utayarishaji wa muziki na uimbaji kwa wakati mmoja. Hitmaker huyo wa “Kiboko” amesema ikiwa daddy andre ataendelea kuimba atapoteza biashara kama prodyuza […]
Read More