SANDRA AMTAKA DANIELLA ATIM KUTOINGILIA NDOA YAKE NA WEASEL
Baby mama wa msanii Weasel, Sandra Teta amemtaka mke wa Jose Chameleone’, Daniella Atim akome kuingilia masuala ya mahusiano yake. Daniella Atim amekuwa akiendesha kampeini ya kutaka haki itendeke kwa sandra teta ambaye aliripotiwa kushushiwa kipigo cha mbwa na mume wake Weasel manizo. Lakini Sandra ameonekana kutopendezwa na kitendo cha Daniella kumtetea kwenye mitandao ya […]
Read More