David Lutaalo amtaka Gravity Omuttuju kuomba kwa kuwavunjia heshima wasanii wakongwe
Mwanamuziki kutoka nchini Uganda David Lutaalo amemtaka rapper Gravity Omutujju kuwaomba msamaha wasanii Jose Chameleone, Bobi Wine na Bebe Cool kwa matamashi ya chuki dhidi yao. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni, Lutaalo amesema hatua ya rapa huyo kujilinganisha kisanaa na watatu hao ni kuivunjia heshima tasnia nzima ya muziki nchini uganda ikizingatiwa kuwa hajafanikiwa hata […]
Read More