DAVID WONDER AFUNGUKA JUU YA UKIMYA WAKE KWENYE MUZIKI
Msanii wa nyimbo za injili nchini David Wonder amefunguka kuhusu ukimya wake kwenye muziki. Akipiga stori na mpasho David Wonder amesema kwamba aliamua kuacha kila kitu na kujifirikia kwanza kama njia ya kujitibu baada ya kukumbwa na tatizo la afya ya akili. Aidha ameenda mbali zaidi na kukiri kutopata chochote kwenye muziki wake ikiwemo kutomiliki […]
Read More