DAVIDO ATANGAZA KUGAWA PESA ZOTE ALIZOPOKEA TOKA KWA MARAFIKI NA MASHABIKI
Kwa kawaida, kwenye kila sherehe au matatizo, suala la michango huwa ni kigugumizi kikubwa kwa watu wengi Duniani Hii imekua tofauti kidogo kwa staa wa muziki kutoka nchini Nigeria Davido Ambaye amekuja na mbinu tofauti ya kupata zawadi kutoka kwa marafiki zake kwenye siku ya Kumbukumbu ya kuzaliwa kwake. Goodnews ni kwamba Davido tayari amepokea […]
Read More