DAVIDO AKERWA NA MAPROMOTA WA MUZIKI NCHINI ITALIA
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Davido ameeleza masikitiko yake kufuatia kutolipwa pesa zake na waandaaji wa tamasha la muziki nchini Italia Kupitia insta story yake kwenye mtandao wa Instagram, kwa uchungu Davido amesema wasanii wanapitia magumu ya kuchosha miili yao kwa jasho na machozi, yote kwa ajili ya mashabiki zao lakini wanaishia kuchukuliwa poa na mapromota. […]
Read More