Diddy Ataka Kesi ya Dawn Richard Itupiliwe Mbali, Asema Madai Ni ya Uongo
Rapa na mfanyabiashara tajiri Sean “Diddy” Combs amepeleka ombi mahakamani kutaka kesi ya madai ya kiraia iliyofunguliwa dhidi yake na mwanamuziki Dawn Richard itupiliwe mbali, akisema madai hayo ni ya uongo na ya kupotosha. Ombi hilo linakuja siku hiyohiyo ambayo Dawn alifika mahakamani kutoa ushahidi dhidi ya Diddy katika kesi tofauti ya jinai. Katika kesi […]
Read More