Dayoo Aachwa na Meneja Wake Baada ya Kuuza Haki za Muziki Wake
Meneja wa muziki kutoka Tanzania, Mnene, ameweka wazi sababu kuu iliyomfanya kusitisha kazi yake ya usimamizi wa msanii Dayoo. Akipiga stori na Rick Media, Mnene amesema moja ya mambo yaliyomvunja moyo ni hatua ya Dayoo kuuza umiliki wa kazi zake za muziki (catalogue) bila kushirikisha timu yake ya usimamizi. Kwa mujibu wa meneja huyo, uamuzi […]
Read More