Msanii Fat S afunguka kuhusu ugomvi wa Dazlah na T-Hits
Msanii Fat S amewapa somo prodyuza T-Hits na aliyekuwa msanii wake Dazlah mara baada ya wawili hao kuingia kwenye ugomvi. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Fat S amesema hatua ya wawili hao kuwekeana vikwazo kwenye shughuli zao za muziki imeleta taswira mbaya kwenye jamii lakini pia imerudisha nyuma juhudi za kukuza muziki wa Pwani. Hata […]
Read More