Terence Creative Ateuliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Watayarishi wa Maudhui Mtandaoni Kenya (DCCAK)

Terence Creative Ateuliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Watayarishi wa Maudhui Mtandaoni Kenya (DCCAK)

Mchekeshaji maarufu na mtayarishaji wa maudhui mtandaoni, Terence Creative, ametangazwa rasmi kuwa Katibu Mkuu (Secretary General) wa Digital Content Creators Association of Kenya (DCCAK) – chama kipya kinacholenga kutetea maslahi ya watayarishi wa maudhui nchini. Uteuzi huo ulifanyika katika hafla rasmi iliyowakutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya kidijitali, ambapo pia walitambulishwa wajumbe wengine wa chama […]

Read More