DESIRE LUZINDA KUTUNIKIWA TUZO YA HESHIMA NCHINI MAREKANI
Desire luzinda ni moja ya wasanii wa kike ambao waliacha alama kwenye tasnia ya muziki nchini Uganda lakini alipata umaarufu zaidi mwaka wa 2018 wakati picha zake za utupu zilivuja mtandaoni. Lakini maisha yake yalikuja ya kabadilika baada ya kukumbatia ukristo na akahamua kuacha kabisa muziki wa kidunia na kuhamia kwenye muziki wa injili ambapo […]
Read More