DESIRE LUZINDA ATANGAZA KUREJEA KWENYE MUZIKI

DESIRE LUZINDA ATANGAZA KUREJEA KWENYE MUZIKI

Msanii kutoka uganda Desire Luzinda, ametangaza kurejea muziki baada ya kukaa kimya kwa takriban miaka minne. Kupitia mitandao yake ya kijamii Desire Luzinda amethibitisha kuachia wimbo mpya wa Injili kutoka kwenye EP yake mpya “ALABASTER HEART” ambayo amekuwa akiifanyia kazi. “Mabibi na mabwana, kila kitu kina msimu na wakati wake. Baada ya miaka minne ya […]

Read More
 SAKATA LA NDOA YA MSANII LEVIXONE NA DESIRE LUZINDA LACHUKUA SURA MPYA

SAKATA LA NDOA YA MSANII LEVIXONE NA DESIRE LUZINDA LACHUKUA SURA MPYA

Msanii aliyegeuki muziki wa Injili nchini Uganda Desire Luzinda inadaiwa kuwa hajafunga ndoa na mwimbaji mwenzake Levixone kwa nia njema kwani anamtumia kwa ajili ya kupata msaada wa kifedha kutoka kwa wafadhili. Chanzo cha karibu na mrembo huyo kinasema kipindi Desire anaanzisha wakfu wake Desire Luzinda Foundation alijaribu kuomba msaada kwa kanisa ambalo anashiriki nchini […]

Read More