KELLY ROWLAND AFUNGUKA KUHUSU KUNDI LA DESTINY’S CHILD KURUDI KWENYE MUZIKI
Aliyekuwa member wa kundi la Destiny’s Child, Kelly Rowland amenyoosha maelezo kufuatia uvumi kwamba kundi la Destiny’s Child lipo mbioni kuerejea kwa ajili ya kufanya muziki mpya na tamasha lao la muziki. Kupitia mahojiano na Entertainment Tonight, Kelly Rowland amesema kundi hilo kwa sasa linaendelea kuweka mikakati ya kurejea kwenye muziki huku akiwataka mashabiki wao […]
Read More