CHRIS BROWN ADAIWA KUPATA MTOTO WA TATU NA MWANAMITINDO DIAMOND BROWN
Staa wa muziki kutoka nchini Marekani Chris Brown ameripotiwa kuwa amepata mtoto wa tatu na mrembo mwanamitindo aitwaye Diamond Brown ambaye ame-share taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa instagram. Mrembo huyo pia amelitaja jina la mtoto huyo wa Kike kuwa ni Lovely Symphani Brown. Jina la katikati la mtoto ‘Symphani’ limepelekea watu kuhisi Breezy ndio […]
Read More