Diamond Platnumz Aweka Rekodi Nyingine Dodoma Kwa Kuijaza Chinangali Park

Diamond Platnumz Aweka Rekodi Nyingine Dodoma Kwa Kuijaza Chinangali Park

Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania, Diamond Platnumz, ameendelea kuthibitisha ubora wake katika tasnia ya muziki baada ya kuweka rekodi nyingine kubwa jijini Dodoma kwa kufanikiwa kujaza uwanja wa wazi wa Chinangali Park. Katika tukio hilo lililovutia maelfu ya mashabiki, Diamond aliweza kuujaza uwanja huo huku viingilio vikianzia shilingi 70,000 hadi kufikia shilingi milioni 5 kwa […]

Read More
 KHADIJA KOPA AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUTOKA KIMAPENZI NA ZUCHU

KHADIJA KOPA AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUTOKA KIMAPENZI NA ZUCHU

Moja kati ya headlines zinazo gonga vichwa vya habari mtandaoni ni issue inayomtaja mwanamuziki diamond platnumz kutaka kumuoa mwanamuziki mwenzake zuchu , sakata ambalo kila mtu analizungumzia katika namna yake. Sasa mama mzazi wa zuchu, Khadija Kopa amezungumzia kile kinachoitwa penzi jipya mtandaoni kati ya binti yake, Zuchu na Diamond Platnumz. Kwenye mahojiano Kopa  ambaye […]

Read More
 ZARI AVUNJA UKIMYA TAARIFA ZA KUOLEWA

ZARI AVUNJA UKIMYA TAARIFA ZA KUOLEWA

Mrembo Zari The Bosslady amewataka mashabiki wake kupuuzia taarifa zinazodai kuwa ameolewa. Zari ambaye ni baby mama wa msanii wa BongoFleva amesema picha hizo zinazodaiwa ni za ndoa yake, zimetoka kwenye kuandaa video ya msanii chipukizi wa muziki wa Injili. Utakumbuka mwaka wa 2020 ilisemekana kuwa Zari pia ameolewa na mwanaume aitwaye ‘King Bae’ lakini […]

Read More
 AMBER LULU: NAMTAMANI SANA JUX

AMBER LULU: NAMTAMANI SANA JUX

Msanii wa Bongofleva Amber Lulu amemtaja Juma Jux kuwa ndio mwanaume anayetamani kupata naye mtoto kwa sababu ana akili, yupo smart na atamuongoza vyema lakini pia amekuwa akimfuatilia msanii huyo kwa muda mrefu. Mrembo huyo ambaye anafanya poa na singo yake mpya iitwayo Nimeachika amesema amepanga kuzaa watoto 5 kila mmoja na baba yake sababu […]

Read More
 DIAMOND PLATINUMZ APEWA JEZI NA TIMU KUBWA USA

DIAMOND PLATINUMZ APEWA JEZI NA TIMU KUBWA USA

Msanii mwenye tuzo nyingi zaidi Afrika Mashariki na Kati Diamond Platnumz amepewa heshima kubwa na timu ya Mpira wa Marekani inayofahamika kama washington NFL. Diamond amekabidhiwa jezi namba 99 huku ikipambwa na jina lake mgongoni Platnumz. Timu hiyo ambayo inashikilia nafasi ya pili kwenye Ligi ya mpira wa Marekani imechapisha picha hizo za Diamond kwenye […]

Read More