DIANA MARUA APOTEZA AKAUNTI YA YOUTUBE KWA WADUKUZI

DIANA MARUA APOTEZA AKAUNTI YA YOUTUBE KWA WADUKUZI

Mwanamitandao aliyegeukia muziki  Diana Marua amepata pigo kubwa baada ya kupoteza chaneli yake  ya YouTube kwa wadukuzi. Diana Marua ametumia ukurasa wake wa Instagram, kutangaza taarifa  hiyo mbaya kwa mashabiki zake ambayo imemuacha akikadiria hasara. Akaunti hiyo yya youtube ambayo ilidukuliwa ilikuwa na zaidi ya subscribers laki 6 tangu ajiunge na mtandao huo Agosti 19 […]

Read More