Mchezaji wa Liverpool, Diogo Jota, Afariki Dunia Pamoja na Ndugu Yake Katika Ajali ya Barabarani Hispania

Mchezaji wa Liverpool, Diogo Jota, Afariki Dunia Pamoja na Ndugu Yake Katika Ajali ya Barabarani Hispania

Mchezaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Ureno, Diogo Jota, amefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea katika mkoa wa Zamora, kaskazini magharibi mwa Hispania. Ajali hiyo imesababisha vifo vya Jota pamoja na ndugu yake mdogo, AndrΓ© Jota, mwenye umri wa miaka 26, ambaye naye alikuwa mchezaji wa soka wa kulipwa. Tukio hilo lilitokea […]

Read More