Trevor: Mungai Eve Anapaswa Kuomba Radhi Kwa Mashabiki

Trevor: Mungai Eve Anapaswa Kuomba Radhi Kwa Mashabiki

Aliyekuwa mpenzi na mshirika wa karibu wa kibiashara wa Mungai Eve, Director Trevor, ameweka wazi mtazamo wake kuhusu sakata linalomkumba mrembo huyo baada ya kutoa kauli tata katika mahojiano akidai kwamba hawezi toka kimapenzi na mwanaume mwenye kipato cha chini. Kwa mujibu wa Trevor, tamko hilo limekuwa na athari kubwa kwa taswira ya Mungai Eve […]

Read More