Trevor Amkingia Kifua Diana B Baada ya Ukosoaji wa “Bibi Ya Tajiri”
CEO wa Chama cha Content Creators nchini Kenya, Director Trevor amejitokeza na kumkingia kifua Diana B baada ya kupata ukosoaji mkali kutokana na wimbo wake mpya Bibi ya Tajiri ambao una zaidi ya views laki tano youtube ndani ya siku tatu. Hii ni baada ya baadhi ya mashabiki na wakosoaji wa muziki kudai kuwa Diana […]
Read More