Mike Sonko na DJ Kalonje watupiana maneno makali mtandaoni
Aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike sonko amejipata akitupiana maneno makali mtandaoni na Deejay maarufu nchini DJ Kalonje. Hii ni baada ya DJ Kalonje kuibuka na kumtaja Jaguar na Sonko kama wanasiasa ambao walishindwa kumsaidia kurejesha studio yake iliyonyakuliwa na bwenyenye mmoja jijini Nairobi licha ya kuwasilisha lalama zake kwao. Sasa Kupitia ukurasa wake Instagram Sonko […]
Read More