GUARDIAN ANGEL AMTAMBULISHA MSANII WAKE MPYA CHINI YA SEVEN HEAVEN MUSIC
Nyota wa muziki nchini Guardian Angel amemtambulisha rasmi msanii mpya ndani ya lebo yake ya muziki ya Seven Heaven Music. Katika mahojiano yake hivi karibuni Guardian Angel amesema msanii huyo kwa jina la DJ Kezz kenya atakuwa chini ya lebo ya Seven Heaven Music ambayo itasimamia kazi zake zote za muziki ambapo amewataka mashabiki zake wamkaribishe msanii huyo […]
Read More