DJ Kezz Awajibu Wanaomkosoa Baada ya Kubadili Dini

DJ Kezz Awajibu Wanaomkosoa Baada ya Kubadili Dini

Aliyekuwa mwimbaji wa muziki wa injili kutoka Kenya, DJ Kezz, amevunja ukimya wake na kujibu vikali wakosoaji wanaomshambulia mitandaoni kufuatia uamuzi wake wa kubadili dini na kuingia Uislamu. Kupitia mitandao yake ya kijamii, DJ Kezz alitoa ujumbe mfupi lakini mzito, akiwataka wafuasi wake kuheshimu uamuzi wake binafsi. Akiwa thabiti na mwenye msimamo, alisisitiza kuwa ukurasa […]

Read More