DJ KHALED ATAJA JINA LA ALBUM YAKE MPYA

DJ KHALED ATAJA JINA LA ALBUM YAKE MPYA

DJ Khaled ametangaza rasmi jina la Album yake mpya ambayo itaingia sokoni hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Khaled amesema Album hiyo ameipa jina la “GOD DID” na ni mahususi kwa ajili ya wanaoamini na wasioamini Mungu. “GOD DID”☝🏽 THE OFFICIAL ALBUM TITLE FOR MY 13TH STUDIO ALBUM COMING SOON I made this album […]

Read More
 DJ KHALED KUTUNUKIWA NYOTA KWENYE HOLLYWOOD WALK OF FAME

DJ KHALED KUTUNUKIWA NYOTA KWENYE HOLLYWOOD WALK OF FAME

Mtayarishaji wa muziki na Dejaay maarufu kutoka nchini Marekani DJ Khaled ataungana na mastaa wengine wakubwa duniani waliopewa heshima ya kutunukiwa nyota kwenye Hollywood Walk of Fame. Kwa mujibu wa mtandao wa Variety, Khaled atatunukiwa nyota hiyo April 11, mwaka huu. Dj khaled amewahi kushinda tuzo za Grammy mara moja, ni mwandishi wa nyimbo na […]

Read More