DAVIDO NA DJ MAPHORISA WARUSHIANA MANENO MAKALI MTANDAONI KISA AMAPIANO

DAVIDO NA DJ MAPHORISA WARUSHIANA MANENO MAKALI MTANDAONI KISA AMAPIANO

Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido amemjibu DJ Maphorisa kufuatia mjadala uliozuka kwenye mtandao wa twitter juu ya msanii aliyeutangaza zaidi muziki wa Amapiano kimataifa. Kupitia moja ya watumiaji wa twitter alishare ujumbe kuwa msanii Davido ndio msanii aliyeutangaza muziki wa Amapiano Afrika na kimataifa na kudai kuwa kwa sasa msanii Wizkid ndio anajaribu kufanya […]

Read More