SIZE 8 AFUNGUKA KUHUSU MADAI YA KUIKIMBIA NDOA YAKE

SIZE 8 AFUNGUKA KUHUSU MADAI YA KUIKIMBIA NDOA YAKE

Msanii wa nyimbo za injili Size 8 Reborn amethibitisha kwamba ni kweli aliondoka nyumbani kwake baada ya kuingia kwenye ugomvi na mume wake DJ MO. Akizungumza na mashabiki zake mapema leo kupitia channel yake ya Youtube amesema alikuwa amemkasirikia mume wake ambaye alikuwa amemkosoa hivyo alihitaji nafasi ya kukaa pekee yake na kujifikiria. Hitmaker huyo […]

Read More
 NDOA YA SIZE 8 NA DJ MO YAVUNJIKA

NDOA YA SIZE 8 NA DJ MO YAVUNJIKA

Mitandao mbali mbali ya burudani nchini imeripoti kuwa Mwanamuziki wa nyimbo za Injili nchini Size 8 Reborn ameikimbia ndoa yake mara baada ya kuingia kwenye ugomvi mkali na mume wake DJ Mo. Vyanzo vya karibu na wawili hao vimesema Size 8 aliondoka nyumbani kwake wiki iliyopita pamoja na watoto wake wawili kutokana na vitendo vya […]

Read More