DJ ROJA AKANUSHA TUHUMA ZA KUKIMBIA NA MKE WA MTU
Msanii ambaye pia DJ maarufu nchini DJ Roja amekanusha tuhuma za kumpokonya shabiki mke akiwa anakula bata kwenye bar iitwayo Plot 8 huko Kololo viungani mwa jiji la Kampala. Roja amesema madai hayo hayana ukweli wowote na hivyo mashabiki zakr wasichukulia kwa uzito taarifa hizo za kutoroka na mke wa mtu kwani mara ya mwisho […]
Read More