DJ Shiti Atangazwa Balozi Mpya wa Unga Farisi Premium
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya, DJ Shiti, ametangazwa rasmi kama balozi mpya wa Unga Farisi Premium. Hatua hii inaashiria mafanikio makubwa kwa msanii huyo ambaye amejipatia umaarufu kupitia vichekesho vyake vinavyovutia mamilioni ya mashabiki. Kwa mujibu wa kampuni ya Farisi, DJ Shiti ameteuliwa kutokana na ushawishi wake mkubwa kwenye mitandao ya kijamii na uwezo wake wa […]
Read More