MUIGIZAJI STACEY DASH AZUA GUMZO MTANDAONI, ADAI HAKUJUA DMX ALIFARIKI
Muigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani Stacey Dash amezua maswali kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuibuka na kudai kuwa hakuwa anajua kama rapa DMX amefariki. Kupitia video ya tiktok aliojirekodi muigizaji huyo amesema kuwa amepata taarifa za rapa huyo kufariki siku ya Jumatano ya Agosti 31, mwaka 2022 tangu rapa huyo afariki April 9,mwaka […]
Read More