Victoria Kimani Abadilika Kimtindo, Asema Atafunguka Zaidi Kwenye Documentary
Msanii nyota kutoka Kenya, Victoria Kimani, amewasha moto mitandaoni baada ya kufichua muonekano mpya wa kipara, hatua aliyoiita mwanzo wa sura mpya katika maisha yake. Kupitia mtandao wa Instagram, alichapisha picha mbalimbali zenye ujumbe wa kina, akieleza safari ya kujitambua, kuamka kiroho, na kuenzi urithi wa Kiafrika. Katika mfululizo wa picha hizo, alionesha taswira ya […]
Read More