Tems, Doja Cat na J Balvin Kuwasha Jukwaa la Club World Cup Usiku Huu
Usiku wa leo, majira ya saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki, macho na masikio ya mashabiki wa soka duniani yatakuwa yameelekezwa kwenye Uwanja wa MetLife, New Jersey, Marekani, ambako fainali ya FIFA Club World Cup itapigwa kati ya mabingwa wa Ulaya, Chelsea FC kutoka England, na mabingwa wa Ufaransa, Paris Saint-Germain (PSG). Mchezo […]
Read More