Mwanamuziki Dolla Kabarry awashauri wanaume kujenga mazoea ya kuwapa zaadi wake zao
Mwanamuziki wa Benga Dolla Kabarry ametoa changamoto kwa wanaume kujenga tabia ya kuwazawadi wake zao kama njia moja ya kupunguza vitendo vya usaliti kwenye ndoa. Mwanamuziki huyo amesema wanawake wanapenda sana kupewa zawadi na wanaume wasipowajibika ipasavyo huenda jini mkata kamba akaingilia mahusiano yao. Aidha amesisitiza kuwa sio lazima zawadi husika iwe ya gharama ya […]
Read More