Dr. Dre yupo mbioni kuuza haki za nyimbo zake (Master Recording)
Rapa mkongwe na mtayarishaji wa muziki kutoka Marekani, Dr. Dre ameripotiwa kuwa yupo mbioni kuuza baadhi ya haki za nyimbo zake (Master Recording) kwa Kampuni ya Universal Music Group (UMG) pamoja na Kampuni ya Kimarekani ya Shamrock Holdings. Hata hivyo taarifa za ndani zaidi zinadai, Dr. Dre anauza haki za nyimbo zake zote toka katika […]
Read More