Dr. Hilderman atangaza ujio wa Album yake mpya
Mwanamuziki aliyegeukia siasa kutoka Uganda Dr. Hilderman ametangaza ujio wa Album yake mpya ambayo kwa mujibu wake huenda ikaingia sokoni hivi karibuni. Kupitia mitandao yake ya kijamii Hilderman amesema Album hiyo ambayo ameipa jina la Favor ina jumla ya ngoma 12 ambazo amezichagua kutoka kwenye maktaba yake ya nyimbo 25 alizozirekodi kwa muda wa miaka […]
Read More