Mtangazaji Dr. Ofweneke Aahirisha Tamasha la Isukuti Baada ya Madai ya Fitina

Mtangazaji Dr. Ofweneke Aahirisha Tamasha la Isukuti Baada ya Madai ya Fitina

Mtangazaji maarufu Dr. Ofweneke ametangaza kuahirisha tamasha lake la Isukuti, lililokuwa limekusudiwa kuileta pamoja jamii ya Waluhya. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Ofweneke amesema ameafikia uamuzi huo baada ya madai kuwa kuna watu wanaomsingizia kwamba anahujumu juhudi za kuimarisha mshikamano wa jamii hiyo. Amesisitiza kwamba lengo lake kuu lilikuwa ni kutumia tamasha hilo kama jukwaa […]

Read More
 Dr. Ofweneke apata kigugumizi baada ya kuitishwa millioni 70 kumleta Burna Boy Kenya

Dr. Ofweneke apata kigugumizi baada ya kuitishwa millioni 70 kumleta Burna Boy Kenya

Mchekeshaji Dr. Ofweneke ameshangazwa na kiasi cha pesa alichotakiwa kulipa kwa ajili ya kumleta Burna Boy kutumbuiza nchini Kenya. Kupitia ukurasa wa Instagram Ofweneke amesema uongozi wa Burna Boy kupitia mama yake mzazi Bose Ogulu ulimtaka alipe kiasi cha shillingi millioni 70 kumpata msanii huyo kutumbuiza kwenye mkesha wa kukaribisha mwaka mpya wa 2023. “Weeh […]

Read More
 DR. OFWENEKE AKANUSHA KUWA KWENYE UGOMVI NA AKOTHEE

DR. OFWENEKE AKANUSHA KUWA KWENYE UGOMVI NA AKOTHEE

Mchekeshaji Dr. Ofweneke amekanusha kuwa kwenye bifu na Akothee baada ya kumtaka mwimbaji huyo amlipe shilllingi millioni 1.4 ili awe mshereheshaji(MC) kwenye hafla ya harusi yake. Kwenye mahojiano na Mpasho Ofweneke amesema hana ugomvi na mwanamama huyo wa watoto 5 kama namna watu wanavyohoji kwenye mitandao ya kijamii kwani ni marafiki wakubwa. Mchekeshaji huyo amesema […]

Read More