YG AHUSISHWA NA MAUJI YA RAPA DRAKEO THE RULER
Rapa kutoka nchini Marekani YG amehusishwa na mauaji ya rapa Drakeo the Ruler ambaye aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa nyuma ya jukwaa kwenye onesho lililofanyika mjini Los Angeles, Disemba 18 mwaka huu. Polisi bado hawajamtia hatiani mtu yeyote lakini uvumi unaosambaa mitandaoni ni kwamba YG na genge lake wamehusika na mauaji hayo. Kwenye mahojiano na […]
Read More