Dr. Dre afunguka sababu za kumtetea Kendrick Lamar kwenye bifu na Drake
Mtayarishi mkongwe wa muziki nchini Marekani Dr. Dre, amefunguka sababu za kuchagua upande kwenye bifu ya Drake na Kendrick Lamar iliyotikisa ulimwengu wa muziki wa Hiphop duniani. Akizungumza kwenye podcast ya The Unusual Suspects With Kenya Barris and Malcolm Gladwell, Dr. Dre ameeleza kuwa hakuvutiwa na hatua ya Drake kumshambulia Kendrick Lamar pamoja na familia […]
Read More