Parroty Vunulu Aomba Msamaha kwa Kukataa Kunyoa Dreadlocks Zake Baada ya Manchester United Kupoteza
Msanii wa Gengetone nchini Kenya, Parroty Vunulu, ameomba radhi kwa mashabiki na umma baada ya kutotimiza ahadi yake ya kunyoa rasta zake iwapo klabu ya Manchester United ingepoteza mechi dhidi ya Tottenham Hotspur. Parroty, ambaye alikuwa ameapa kunyoa dreadlocks zake alizozilea kwa miaka tisa endapo United wangeshindwa, amebadili msimamo wake na kusema hawezi kupoteza utambulisho […]
Read More