Dudu Baya Amwaibisha Mwijaku kwa Tuhuma Nzito
Msanii mkongwe wa Bongofleva, Dudu Baya, amemwaibisha hadharani mtangazaji na mdau wa burudani Mwijaku kwa kuibua madai mazito dhidi yake. Akizungumza katika mahojiano ya hivi karibuni, Dudu Baya amedai kuwa Mwijaku kwa sasa hana makazi ya kudumu baada ya kudaiwa kufurushwa na mke wake kutoka katika nyumba aliyokuwa akiishi, hatua aliyodai ilitokea baada ya ndoa […]
Read More