Dufla Amvamia Mulamwah Kwa Maneno Makali Mtandaoni

Dufla Amvamia Mulamwah Kwa Maneno Makali Mtandaoni

Msanii wa muziki wa dancehall nchini Kenya, Dufla Diligon, amemkemea hadharani mchekeshaji maarufu Mulamwah, akimtuhumu kwa vitisho na usumbufu wa simu. Kupitia ujumbe mkali aliouweka katika ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Dufla alieleza hasira zake na kuonyesha kutoridhishwa na tabia ya Mulamwah. “Mulamwah stop threatening me!! Mimi mahali nimezaliwa wewe hata hauwezi survive. Hizi vitisho […]

Read More
 Dufla Diligon Amlalamikia Mulamwah kwa Kumblock Instagram

Dufla Diligon Amlalamikia Mulamwah kwa Kumblock Instagram

Msanii wa muziki wa Kenya, Dufla Diligon, amezua mjadala mtandaoni baada ya kufichua kuwa amefungiwa (blocked) na mchekeshaji maarufu Mulamwah kwenye mtandao wa Instagram. Kupitia Instastory yake, Dufla alisimulia tukio hilo kwa mshangao na utani, akisema kuwa aligundua amefungiwa wakati alipokuwa akitafuta akaunti ya Mulamwah akiwa katika mazungumzo na msanii Lyanii.  “Jana tulikuwa na mazungumzo […]

Read More
 Dufla Diligon aweka wazi jina la EP yake mpya

Dufla Diligon aweka wazi jina la EP yake mpya

Mwanamuziki wa Dancehall Dufla Diligon amelitaja jina la EP yake mpya anayotarajia kuiachia hivi karibuni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema EP hiyo ameiita “Zone”, na ana mpango wa kuachia wimbo wa kwanza kutoka kwa EP hiyo ambayo ameitaja kuwa ni bonus track. “Mheshimiwa @jalangoo alilalamika sana kwamba sijatoa ngoma siku nyingi. This week we drop a bonus track off my incoming EP […]

Read More
 Mrembo Arnelisa Muigai akata penzi la mwanamuziki Dufla Diligon

Mrembo Arnelisa Muigai akata penzi la mwanamuziki Dufla Diligon

Huenda juhudi za mwanamuziki Dufla Diligon zikagonga mwamba baada ya mrembo Arnelisa Muigai kukataa hadharani ombi la msanii huyo kutaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kimapenzi. Kupitia ukurasa wake wa Instagtam Arnelisa amesikitishwa na kitendo cha Dufla kutumia sarakasi nyingi mtandaoni kwa ajili ya kuteka hisia zake huku akisema kuwa mapenzi hayalazimishwa. Kauli ya Arnelisa […]

Read More
 DUFLA DILIGON ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

DUFLA DILIGON ADOKEZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Mwanamuziki wa dancehall nchini Dufla Diligon ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia ndani ya mwaka huu wa 2022. Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Dufla amethibitisha ujio wa ep hiyo kwa kusema kwamba anaendelea na mchakato wa kuandaa ep mpya huku akiwataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kuipokea EP […]

Read More