Bebe Cool Aeleza Sababu ya Wasanii wa Afrika Mashariki Kusalia Nyuma Kisanaa

Bebe Cool Aeleza Sababu ya Wasanii wa Afrika Mashariki Kusalia Nyuma Kisanaa

Mwanamuziki mkongwe kutoka Uganda, Bebe Cool, ameonyesha masikitiko yake kuhusu hali ya muziki wa Afrika Mashariki, akieleza kuwa miaka 15 iliyopita wasanii wa ukanda huo walikuwa na nafasi kubwa ya kufanikiwa kimataifa lakini walikosa kuendeleza juhudi hizo. Kwa mujibu wa Bebe Cool, kipindi hicho kulikuwa na umaarufu mkubwa ambao ulipaswa kutumiwa kama daraja la kuingia […]

Read More