MENEJA WA KUNDI LA MBOGI GENJE AMVUA NGUO KRG THE DON KISA KUWAADA WAKENYA
Meneja wa kundi la Mbogi Genje Eastlando President amemtolea uvivu msanii KRG The Don kwa madai ya kuwadanganya wakenya kuwa yeye ndiye mmliki wa ukumbi wa burudani wa Casavara. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Eastlando president amesema kuwa mmiliki halisi waCasavara ni msanii wa dancehall kutoka jamaica Konshens ila KRG amepewa kazi ya kuipromote ukumbi […]
Read More