ED SHEERAN AKOSHWA NA WIMBO WA PERU WAKE FIREBOY DML

ED SHEERAN AKOSHWA NA WIMBO WA PERU WAKE FIREBOY DML

Mwimbaji hodari wa nchini Uingereza Ed Sheeran amezimika na dundo la Fireboy DML β€˜Peru’ hivyo ameamua kufanya Remix ya wimbo huo. Kwenye mahojiano na Elton John, Ed Sheeran amesema mkali huyo kitoka nchini Nigeria alimtafuta kupitia mtu mwingine na kuomba aibariki ngoma hiyo. Baada ya kuisikiliza, Ed Sheeran anakiri kwamba ilimuingia na kumtengenezea uraibu (addiction) […]

Read More